Kikosi cha Yanga kesho jioni kitashuka Uwanja wa KMC Complex katika mwendelezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, lakini kabla ya kipute hicho kupigwa inaelezwa benchi la ufundi la timu hiyo ...